Categories: | Educational Books, Higher Education, Oxford Publishers |
---|
Weight | 0.450 kg |
---|
Related products
-
Guidance and Counselling for Schools and Colleges
Guidance and Counselling for Schools and Colleges
-
-
Hatima ya Kubuni
Wanasayansi, wanaramani mabingwa wameshindwa kutambua kilipokuwa kijiji cha Kubuni na kukiweka juu ya uso wa dunia. Kile wanachojua ni kuwa kijiji chenyewe kilikuwepo, ila sasa hakijulikani kitovu chake. Mzee Pepo tu ndiye aliyeshuhudia kijiji kikitokomea. Anaelezea masaibu yaliyokikumba kijiji hiki kwa namna itakayokuacha wewe msomaji
ukistaajabu …Mwandishi, Hamad Simai, ni mwandishi mtajika wa riwaya na kazi nyingine za kubuni. Aidha, ni mtaalamu wa teknolojia nchini Zanzibar.
-
Soma Nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili – Kiswahili Literacy Pupil’s Book 1
Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata:• mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
• mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji
• sehemu ya ‘Tujifurahishe’ inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi. -
Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
-
Test It & Fix It KCSE Revision CRE – 3rd Edition
Test it Fix it: KCSE Revision is a revision series that provides an in-depth coverage of the secondary syllabus. Developed by a team of experienced authors, examiners and teachers, each book contains tests designed to help candidates identify any problems they may have in a particular subject and fx them.
Why Test it & Fix it?
Test it & Fix it: KCSE Revision CRE provides:
- Essential examination skills including key words used in examinations, common mistakes candidates make, and tips to answering examination questions.
- Summary notes for each of the topics in the syllabus.
- Revision questions based on each topic of the History and Government syllabus.
- Common KCSE questions from each topic of the History and Government syllabus.
- Model examination papers, for paper 1 & 2, to help candidates practise answering questions in the KCSE examination.
- Answers to the revision questions and model examination papers.
-
Kamusi Sanifu ya Msingi
KAMUSI SANIFU YA MSINGI imetungwa kwa ustadi na wataalamu wa Kiswahili ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi na yeyote anayetaka kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili.
Kwa nini Kamusi Sanifu ya Msingi?
Kamusi hii ina:
• maneno makuu mapya zaidi ya 2 000
• sentensi kwa kila neno kuu
• wingi wa kila nomino
• ngeli za nomino
• mnyambuliko wa vitenzi
• michoro na picha zaidi ya 1 000 kurahisisha uelewa wa maana
• vipengele mbalimbali vya sarufi
• kurasa 10 za kumwelekeza mtumiaji
• kurasa 32 za rangi zinazogusia maudhui mbalimbali kama vile rangi, maumbo, tarakimu, sehemu za mwili wa binadamu, mavazi,vyakula na vinywaji, wanyama, miti na mimea, michezo
mbalimbali, usafiri, alama za barabarani, viumbe na makao yao, vikembe, majira na nyakati, dira, sayari, salamu, majina ya kike na ya kiume, nomino za makundi, tanakali za sauti,
tashbihi, visawe na nahau
• maelezo ya kina kuhusu ngeli za nomino -
Everyday Science and Technology Teacher’s Guide Grade 5
Everyday Science and Technology Teacher’s Guide Grade 5
Be the first to review “Management and Evaluation of Schools”