Sifuri Nyani Mtalii
KSh190.00
Sifuri amechoshwa na mazingira katika bustani ya Zoo ambako wanyama mbalimbali wamehifadhiwa ili kuepushwa na makali ya ukame unaojiri. Anaomba ruhusa ya kwenda mjini kutembea. Je, ziara yake itakuwa ya mafanikio? Soma hadithi kwa vioja anavyovifanya Sifuri mjini!
SKU: 9789966075444 Format: PDF
Customer Reviews
There are no reviews yet.
Be the first to review “Sifuri Nyani Mtalii”