Paka Wa Zena

KSh250.00

by Pauline Kea


Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Pili na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
– Mwili wangu
– Familia
– Siku za wiki

ISBN: 9789966141163 SKU: BK00000002306

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Paka Wa Zena”

Your email address will not be published. Required fields are marked *