Dira Ya Kiswahili 6

KSh750.00

DIRA YA KISWAHILI 6 kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha tano: Kusikiliza na kuongea, Kusoma, Kuandika, Sarufi na Msamiati. Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili. Muundo wa kitabu 1. Kuna sura ina 15: Kila sura iko na sehemu ya Kusikiliza na kuongea, Kusoma, Kuandika, Sarufi na Msamiati. 2. Baada ya kila sura kuna Kibindo cha maswali. Sehemu hii imejumlisha maswali kutoka sehemu mbalimbali na yanakuzia stadi za lugha zote. 3. Mwisho wa kila sura kuna Zoezi la ziada. Katika sehemu hii kuna Kifungukate na Maswali mseto yanayozingatia silabasi. 4. Kuna mihula mitatu. Kila muhula una Sura tano na Jaribio la mtihani. 5. Baada ya sura kumi na tano kuna Majaribio ya mitihani kumi na matano. Majaribio haya yamezingatia silabasi na muundo wa mtihani. 6. Mwisho ni Majibu ya mazoezi na majaribio ya mitihani yote. Waandishi wa kitabu hiki ni Wafula Wa Wafula, Vidijah Dalizu na Jean Soita. Wao ni mahiriri na walimu wenye tajiriba na watajika katika uwanja wa Kiswahili.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Dira Ya Kiswahili 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *