ADHABU YA JOKA

KSh100.00

Furaha ya kila mwanandoa huwa ni kupata mtoto …Kibuka na Kalimuzo wanaishi kwa miaka kumi na miwili bila kujaaliwa kupata mtoto. Maadamu Mungu si Athumani, hatimaye wanajaaliwa kupata mtoto wa kiume wanayemwita Ziro. Je, mtoto huyu alikuwa chanzo cha furaha au huzuni kwa wazazi wake? Hii ni hadithi ya kuwaonya vijana dhidi ya uhalifu kama vile wizi kwani Ziro anapata adhabu ya joka anapoiba sanduku lililodhaniwa kuwa na pesa nyingi sana.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “ADHABU YA JOKA”

Your email address will not be published. Required fields are marked *