VANGAVANGA MPIGA HADITHI

KSh155.00

Vangavanga, mzee mwenye mvi tele kichwani anasifika kote kijijini. Hadithi zake za kusisimua ni burudani tosha kwa kila mtu; watoto kwa watu wazima. Kila mtu mjini na vijijini anamsaka kama wasasi wasakavyo windo lao. Naye kwa unyenyekevu wake anaitikia mwito wa waja na punde si punde, nyota yake inangara zaidi mjini, vijijini, barazani, barabarani, darasani na maktabani. Kweli jina njema hung’aa hata gizani.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “VANGAVANGA MPIGA HADITHI”

Your email address will not be published. Required fields are marked *