Zawadi ya Salim
Zawadi ya Salim
Mwandishi: Mutuku
ISBN: 978 9966 341 77 3
Kengele inalia. Wanafunzi wengine
wanakimbia nje kucheza. Salim
anabaki darasani. Anaona noti
ya shilingi mia moja juu ya kiti
cha mwalimu. Je, Salim atampa
mwalimu noti hiyo?
KSh180.00
Reviews
There are no reviews yet.