Utamu Wa Lugha Kitabu Cha Pili

KSh360.00

Katika mkusanyika wa mashairi katika kitabu hiki Bi-Uvetie amefuata mtindo aliyotumia katika cha kwanza, UTAMU WA LUGHA (KLB 1976).

Bi-Uvetie ameandika juu ya vipenngee vya Maisha vilivyo katika mazingara yetu, mifano ikiwa siasi, elimu, mapenzi, dini na kadhalika. Mkusanyiko huu una mashairi mepesi nay a kufahamika kwa urahisi.

Bi Uvatie alizaliwa Meru-Arusha Tanzania katika Kijiji cha Nkure kata ya Nkoaranga. Ameolewa n ani raia mtumishi wa Serikali ya Kenya.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Utamu Wa Lugha Kitabu Cha Pili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *