Uandishi Bora kwa Shule za Msingi

KSh450.00

Uandishi Bora kwa Shule za Msingi ni
kitabu cha kipekee kwani kinamwelekeza
mwanafunzi kuandika vyema na kwa
hati safi kwanzia herufi, silabi, neno,
kirai, sentensi, aya hadi insha kamili.
Mchakato mzima wa uandishi wa insha
pia umeangaziwa kwa kutilia maanani
mambo ya kimsingi ambayo huchukuliwa
na waandishi wengi kuwa wanafunzi
wanayaelewa.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uandishi Bora kwa Shule za Msingi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *