Customer matched zone "Kenya"
View basket “Zawadi ya Salim” has been added to your basket.
Uandishi Bora kwa Shule za Msingi
Uandishi Bora kwa Shule za Msingi ni
kitabu cha kipekee kwani kinamwelekeza
mwanafunzi kuandika vyema na kwa
hati safi kwanzia herufi, silabi, neno,
kirai, sentensi, aya hadi insha kamili.
Mchakato mzima wa uandishi wa insha
pia umeangaziwa kwa kutilia maanani
mambo ya kimsingi ambayo huchukuliwa
na waandishi wengi kuwa wanafunzi
wanayaelewa.
KSh450.00
Related products
-
Moran (E.A) Publishers Ltd
Primary Premier Golden Tips Stadi za Uandishi wa Insha
KSh525.00 Add to basket
Reviews
There are no reviews yet.