TANZU ZA LUGHA MWANAFUNZI 2
KSh300.00
Vitabu hivi vimeandikwa kwa ufundi mpevu unaohusisha mbinu kadhaa za kisasa za ufunzanji.
Kinyume na vitabu vingine, mfululizo huu unatilia mkazo mbinu ya maingiliano katika ufunzaji wa lugha.
Maingiliano baina ya stadi mbalimbali hususan somo na somo; juma na juma; faslu na faslu; mwalimu na mwanafunzi ni muhimu.
Customer Reviews
There are no reviews yet.
Be the first to review “TANZU ZA LUGHA MWANAFUNZI 2”