Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi 8

KSh495.00

Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi 8
Author: Mwalimu Kipande
ISBN: 978 9966 349 66 8
Stadi za Kiswahili kwa Shule za Msingi ni vitabu vya kiada vilivyodhamiriwa kubadilisha ufundishaji wa Kiswahili.

Vitabu hivi vimeandikwa kwa njia ya kipekee kwa manufaa ya mwanafunzi na mwalimu. Yaliyomo yamepangiwa kwa utaratibu mwafaka kuanzia na dhana zinazoeleweka kwa urahisi na kumalizia kwa zile zinazotatiza. Aidha, sura zimepangwa kwa kufuata mantiki kwamba ni muhimu mwanafunzi awezeshwe kusikiliza na kuongea, kisha asome na mwisho aandike. Dhana za sarufi na msamiati zimewekwa mwishowe kwani ndizo vijenzi vya stadi za lugha.

Stadi nne za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika zimeshughulikiwa kwa njia rahisi, inayoeleweka na inayomvutia msomaji.

No payment method connected. Contact seller.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi 8”

Your email address will not be published. Required fields are marked *