Kiswahili Kwa Darasa La 7 TG
KSh422.24
Kiswahili ni kati ya lugha saba muhimu ulimwenguni. Takribani watu milioni 100 wanaizungumza lugha ya Kiswahili ulimwenguni. Mbali na hayo, lugha hii imekubaliwa kama lugha mojawapo ya mawasiliano katika mikutano ya Jumuia ya Afrika. Utafiti unaendelea kuhusu lugha hii katika vyuo vingi ulimwenguni.
Customer Reviews
There are no reviews yet.
Be the first to review “Kiswahili Kwa Darasa La 7 TG”