Kiswahili Kwa Darasa La 5 PB

KSh328.00

Kiswahili ni kati ya lugha saba muhimu ulimwenguni. Takriban watu milioni 100 wanaizungumza lugha ya Kiswahili ulimwenguni. Mbali na hayo, lugha hii imekubaliwa kama lugha mojawapo ya mawasiliano katika mikutano ya Jumuia ya Afrika. Utafiti unaendelea kuhusu lugha hii.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Kwa Darasa La 5 PB”

Your email address will not be published. Required fields are marked *