Kiswahili Angaza Gredi 1 TG
KSh280.00
Mwandishi:Â Shabaan Otieno &Â Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN:Â 978-9966-56-282-1
Related products
-
Kiswahili Angaza Gredi 3 PB
Mwandishi:Â Shabaan Otieno &Â Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN:Â 978-9966-56-286-9Description
Kitabu cha Mwanafunzi
Kiswahili Angaza ni kozi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
1. Kusoma ni kutagusana; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;2. Wanafunzi wanaanza kila somo kwa kuelezea picha au hali ama matukio wanayoyafamu huku wakijadiliana;3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria  kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha, kujenga na kuhakiki;4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno na isiyokuwa na maneno magumumagumu na misamiati ya kubabaisha;5. Mwanafunzi na mwanafunzi mwenzake, pamoja na mwalimu, mzazi na hata jamii nzima wanashirikishwa ndani ya kitabu hiki.Ili kuhakikisha kwamba mwanafunzi anashiriki katika utendaji wakati wa somo, Shughuli mbalimbali zinazopalilia na kushadidia umilisi wake zimezingatiwa. Shughuli hizo ni kama zifuatazo: Shughuli za Darasa; Shughuli za Kibinafsi; Shughuli za Makundi; Shughuli za Wawili wawili; Shughuli za Nyumbani; Shughuli za Nje ya darasa; Shughuli Mseto; Shughuli za Ziada na Shughuli za Utafiti. -
Kiswahili Angaza Gredi 2 PB
Mwandishi:Â Shabaan Otieno &Â Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN:Â 978-9966-56-284-5Description

Kiswahili Angaza Gredi 4 PB
Mwandishi:Â Shabaan Otieno &Â Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN:Â 978-9966-56-447-4Description

Great Minds CRE Activities Grade 3 TG
Author:Â S. Muriithi , V. Makanda & Hellen Mwasiaji
Publisher: East African Educational PublishersDescription
Teacher’s Guide
This Teacher’s Guide comprehensively covers the content in the Great Minds Christian Religious Activities, Grade 3, Pupil’s Book. Key features of this Teacher’s Guide include:
- A comprehensive introduction that covers the following areas:
- Introduction to competency-based curriculum.
- Child-centered learning.
- Handling learners with special needs.
- Professional documents such as schemes of work and lesson plan.
- Evaluation.
- Methodology of teaching Christian Religious Education in Lower Primary.
- Suggested teaching and learning resources for each topic.
- Background information to each topic.
- Step by step instructions on how to cover each sub-topic and activity.
- Additional information that the teacher can use to teach specific topics and sub-topics.
- Additional activities to complement the ones in the Pupil’s Book.
- Answers to all the questions in the Pupil’s Book.
- A comprehensive introduction that covers the following areas:
-
EAEP Fun With Language Activities PP2 PB
by Wanjiku Kiragu
- ISBN: 9789966563835
- SKU: 2010101002786
Fun with Language Activities Pre-Primary 2 Pupil’s Book is a comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for Pre-Primary schools. This course has been developed to enable learners to apply the listening, speaking, reading and writing skills in their daily use of language. This Pre-Primary 2 book is presented in a simple manner. Learners at this level will enjoy using it. Here, the teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge.
The key features of this book include:
• A simple approach to language and presentation that is easy to follow.
• Relevant, well-drawn full-colour illustrations that are exciting to the children.
• A variety of competency-based learner-centred activities that help the learners to develop a wide range of skills.
• Suggestions for parents and guardians to be involved in the continuous learning process at home.
• Songs, poems and games that help the learners to understand the content within this book.
• Indoor and outdoor activities that learners do in pairs and in groups as they help each other to learn.
The book has an accompanying Teacher’s Guide. The author is an English Language teacher with vast experience -
Kiswahili Angaza Gredi 1 PB
Mwandishi:Â Shabaan Otieno &Â Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN:Â 978-9966-56-282-1Kitabu cha Mwanafunzi
Kiswahili Angaza ni kozi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
1. Kusoma ni kutagusana; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;2. Wanafunzi wanaanza kila somo kwa kuelezea picha au hali ama matukio wanayoyafamu huku wakijadiliana;3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria  kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha, kujenga na kuhakiki;4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno na isiyokuwa na maneno magumumagumu na misamiati ya kubabaisha;5. Mwanafunzi na mwanafunzi mwenzake, pamoja na mwalimu, mzazi na hata jamii nzima wanashirikishwa ndani ya kitabu hiki.Ili kuhakikisha kwamba mwanafunzi anashiriki katika utendaji wakati wa somo, Shughuli mbalimbali zinazopalilia na kushadidia umilisi wake zimezingatiwa. Shughuli hizo ni kama zifuatazo: Shughuli za Darasa; Shughuli za Kibinafsi; Shughuli za Makundi; Shughuli za Wawili wawili; Shughuli za Nyumbani; Shughuli za Nje ya darasa; Shughuli Mseto; Shughuli za Ziada na Shughuli za Utafiti. -
My Shapes
My Shapes is a KICD approved levelled reader. This book is approved for Kenya CBC. It is the modern storybook. It is written to cater for learners with different reading abilities, regardless of their Grade. Learners at this level need simple read aloud books to develop their oral skills and print awareness. Texts with single words help learners at this level to match spoken words with print. The learners are also learning to identify letters and to name them. Left-to-right orientation in reading is developed. My Shapes is a reader that introduces learners to different shapes. This book will aid the development of the learners’ sense of sight and manipulation skills. This book is CBC approved by KICD
Be the first to review “Kiswahili Angaza Gredi 1 TG”