Kisa Cha Gaidi Lii
KSh295.00
Lii ni gaidi sugu anayelihangaisha taifa. Anawatekanyara vijana na kuwafunza jinsi ya kuua na kufanya vitendo vya ugaidi. Serikali imejaribu kumkomesha lakini imeshindwa. Nani ataweza kumkomesha? Soma hadithi ujionee jinsi kijana mmoja wa mitaani anasaidia kumkomesha gaidi huyo sugu.
SKU: 9789966075512 Format: PDF
Customer Reviews
There are no reviews yet.
Be the first to review “Kisa Cha Gaidi Lii”