Kikulacho

KSh392.00

Mwandishi wa riwaya hii, Bi. Zainab Wahab alizaliwa mwaka wa 1937 Kisiwani Zanzibar. Alisomea shule ya wasichana Ng’ambo na baadaya Government Girls’ School hapo Forodhani, Zanzibar. Bi. Zainab alijiunga na Chuo Kikuu cha Khartoum na kuhitimu na shahada ya B.A.

Mnamo mwaka wa 1962, alijiunga na Chuo Kikuu -London katika Kitivo cha Elimu na kuhitimu baadaye mwaka wa 1963. Baada ya kufanya kazi kama Afisa wa Elimu kwa muda mrefu, alikwenda Ufaransa mwaka wa 1975 na kujiunga na Chuo Kikuu cha Sorbone ili kujifunza Kifaransa.

Bi. Zainab amewahi kuandika hadithi fupi kwa vipindi vya Redio ya BBC na pia Redio ya Ujerumani Magharibi. Pia mwandishi ameandika kitabu kiitwacho Ulimbo kilichopigwa chapa mwaka wa 1976. Kikulacho ni kitabu chake cha pili.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kikulacho”

Your email address will not be published. Required fields are marked *