KCPE Kilele cha Kiswahili

KSh850.00

Kilele cha Kiswahili ndicho kile kile kilichojulikana kwa jina la Kiswahili Jalili. Kiswahili Jalili sasa kimeboreshwa hadi kufikia kileleni; yaani Kilele cha Kiswahili. Kilele cha Kiswahili ni miongoni mwa vitabu vingine katika msururu wa KCPE Summit Revision. Kitabu hiki: • Kimefikisha Kiswahili kwenye kileleta cha lugha na kubadilisha mkondo wa kufunza Kiswahili kulingana na mabadiliko ya mtindo wa utahini wa mtihani wa KCPE miaka michache iliyopita. • Kina mazoezi ya majaribio ya KCPE yaliyojumu-lishwa kwa ajili ya kumwandaa mtahiniwa kufanya mtihani wake. • Kinazingatia kwa ukamilifu silabasi iliyoidhinishwa. Mwalimu Wafula wa Wafula ni mwenye tajriba kubwa katika ufunzi wa Kiswahili. Aliwahi funza katika shule kadha kule Mombasa na Nairobi na hata kushiriki katika vikao vya wachanganuzi wa Kiswahili kwenye redio na runinga. Hivi sasa anafunza katika shule moja jijini Nairobi.

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KCPE Kilele cha Kiswahili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *