AfriReads

Kadogo Na Majini Ya Nyanya

Kadogo na Majini ya Nyanya inasimulia baadhi ya itikadi zilizopitwa no wakati haswa ushirikina no tiba ya magonjwa. lnawazindua watoto no wazazi kutafuta njia za kisasa za kupata matibabu hospitalini badala ya kutegemea waganga wa kienyeji ambao huwapotosha.

Hadithi hii ya kuvutia, kusisimua no isiyowekeka chini itawanufaisha wanafunzi wa shule za msingi.

Daktari Kyalo Wamitila ni mwandishi maarufu na mwenye ujuzi mwingi katika uandishi wa hadithi za kuwaburudisha watoto.

KSh275.00

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kadogo Na Majini Ya Nyanya”

Your email address will not be published.

Select your currency
KES Kenyan shilling