Kinyume na vitabu vingine, mfululizo huu unatilia mkazo mbinu ya maingiliano katika ufunzaji wa lugha. Maingiliano baina ya stadi mbalimbali hususan;
somo na somo; juma na juma;
faslu na faslu;
mwalimu na mwanafunzi ni muhimu.
Aidha mfululizo huu unaangazia namna lugha ya kiswahili inavyohusiana na taaluma nyinginezo.
Nyanja zote zinazoshughulikiwa humu zinalengwa kumpa mwanafunzi msukumo wa kujikuza katika lugha ya Kiswahili.
Kiwango cha lugha walichokitumia waandishi kinaafiki kila kidato kilichoandikwa
Be the first to review “INTEGRATED ENGLISH TEACHERS BK 2”