HADAA YA NAFSI (Class 6-8)

KSh290.00

Mwinyi anapozaliwa anakuwa tumaini la mamake; la kumpoza moyo katika ndoa ya lazima. Anaasi ushauri hata hivyo na kuishia kuwa mhuni. Hatimaye anachupia meli ya kwenda Uarabuni ili kutafuta uhuru wa kufanya anavyotaka na kuishi maisha ya raha mustarehe, yasiyo na kero wala tafrani. Je, atafanikiwa kuyapata maisha haya?

Customer Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “HADAA YA NAFSI (Class 6-8)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *