Related products
-
Kiswahili Angaza Gredi 1 TG
Mwandishi: Shabaan Otieno & Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-282-1 -
Kiswahili Angaza Gredi 4 PB
Mwandishi: Shabaan Otieno & Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-447-4Description
Kitabu cha Mwanafunzi
Kiswahili Angaza ni kozi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
1. Kusoma ni kutagusana; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;2. Wanafunzi wanaanza kila somo kwa kuelezea picha au hali ama matukio wanayoyafamu huku wakijadiliana;3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha, kujenga na kuhakiki;4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno na isiyokuwa na maneno magumumagumu na misamiati ya kubabaisha;5. Mwanafunzi na mwanafunzi mwenzake, pamoja na mwalimu, mzazi na hata jamii nzima wanashirikishwa ndani ya kitabu hiki.Ili kuhakikisha kwamba mwanafunzi anashiriki katika utendaji wakati wa somo, Shughuli mbalimbali zinazopalilia na kushadidia umilisi wake zimezingatiwa. Shughuli hizo ni kama zifuatazo: Shughuli za Darasa; Shughuli za Kibinafsi; Shughuli za Makundi; Shughuli za Wawili wawili; Shughuli za Nyumbani; Shughuli za Nje ya darasa; Shughuli Mseto; Shughuli za Ziada na Shughuli za Utafiti. -
Super Minds Mathematics Workbook Grade 5
by L. Nyaranga, A. Olwande and B. Mwendo
- ISBN: 9789966565778
- SKU: BK00000002226
Super Minds Mathematics Grade 5 Workbook is a comprehensive supplementary book based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for primary schools. This Workbook has been creatively written to give the learner adequate practice that will reinforce the competencies they have acquired from their interaction with the course book. The authors of this book have used a simple and easy approach to present content. The learner will certainly enjoy using it The key features of this book include:
• use of simple language that is to the level of the learner
• relevant, well-drawn, and full colour illustrations that will arouse the learner’s desire to learn
• systematic arrangement of tasks to cater for learners who have different learning abilities
• a variety of practice learning tasks to help the learner grasp a wide range of concepts in Mathematics;
• relevant and detailed examples, drawn from the immediate environment, to help the learner investigate each concept;
The authors are teachers with long-standing experience in teaching Mathematics. This workbook should be used alongside the Super Minds Mathematics Learner’s Book for Grade 5. -
Great Minds Mathematics Activities Grade 3 TG
Author: Joash Wamalwa
Publisher: East African Educational Publishers
Year: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-390-3Teacher’s Guide
This Teacher’s Guide comprehensively explains the content in Great Minds Mathematics Activities Grade 1 Pupil’s Book. The key features of this Teacher’s Guide include:
- A comprehensive introduction that covers the following areas:
- Description of the features of the competency-based curriculum.
- Explanation of child-centred learning.
- Detailed sample scheme of work, lesson plan and record of work.
- Suggestions on teaching learners with special needs.
- Introduction and detailed notes for the teacher in each sub-strand.
- Elaborate teaching and learning steps for the various concepts.
- Adequate assessment methods and tools including assessment rubrics.
- A description of the competencies expected to be developed in each sub-strand.
- Well-defined relationship between each sub-strand and PCIs in society.
- Answers to all questions in the Learner’s Book.
The authors of this book are teachers with long-standing experience in teaching mathematics.
- A comprehensive introduction that covers the following areas:
-
-
EAEP Fun with Environmental Activities PP2 PB
by Ogola
- ISBN: 9789966562807
- SKU: 2010123000882
Fun with Environmental Activities PP2, Pupils Book, is a comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for primary schools. This course has been developed to enable learners apply the listening, speaking, reading and writing skills in their daily use of language. This book is presented in a simple manner. Learners at this level will enjoy using it. here, the teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge.
The key features of this book include:
- A simple approach to language and presentation that is easy to follow.
- Relevant, well drawn full-color illustrations.
- A variety of competency-based learner-centered activities that help the learners to develop a wide range of skills.
- Suggestions for parents and teachers to be involved in the continuous learning process.
- Songs and poems that help the learners to understand the content within this book.
- Indoor and outdoor activities that learners do in pairs and in groups as they help each other to learn.
-
Great Minds English Language Activities Grade 2 PB
Author: Joseph Maina & Nobert Ndisio
Publisher: East African Educational Publishers
Year: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-391-0Description
Pupil’s Book
Great Minds English Language Activities Grade 2, Pupil’s Book, is a KICD approved comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for Primary schools. This course book has been developed to enable learners apply the listening, speaking, reading and writing skills in their daily use of language. This Grade 2 book is presented in a simple manner. Learners at this level will enjoy using it. Here, the teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge. The key features of this book include:
- A simple approach to language learning that is easy to follow.
- Relevant, well-drawn full colour illustrations.
- A variety of competency-based learner-centred activities that help the learner to develop a wide range of skills.
- Songs and poems that help the learner to understand the content within this book.
- Fun at Home sections that engage the learner in activities that involve parents or guardians and the community.
- Laugh and Learn sections that the learner will enjoy reading and sharing.
- A learner’s Progress Report at the end of the book.
The book has an accompanying Teacher’s Guide. The authors are English Language teachers with vast teaching experience.
-
Kiswahili Angaza Gredi 3 TG
Mwandishi: Shabaan Otieno & Mziwanda Banda
Mchapishaji: East African Educational Publishers
Mwaka: First published 2018
ISBN: 978-9966-56-287-6Description
Kitabu cha Mwalimu
Kiswahili Angaza, Mwongozo wa Mwalimu ni kitabu kilichosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kimetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Mwalimu ni nyenzo muhimu katika utekelezaji wa mtalaa mpya. Itakuwa vigumu kwa wanafunzi pekee kujiongoza katika mtalaa huu. Mwongozo huu hivyo basi unatoa mwelekeo ufaao kwa mwalimu na kumwongoza hatua kwa hatua katika ufundishaji. Kitabu hiki kinazingatia mambo saba muhimu:- Utangulizi unaozungumzia kwa mapana na marefu mtalaa mpya unaomwegemea mwanafunzi, mbinu, nyenzo na asilia mbalimbali za kutumia katika ufundishaji pamoja na mambo mengine ainati;
- Kifano cha maazimio ya kazi pamoja na andao la somo kwa kutumia mtindo mpya uliopendekezwa na KICD;
- Ripoti ya maendeleo ya mwanafunzi inayofaa kujazwa mwishoni mwa kila mada kuu. Ripoti hii inafaa kujazwa na mwalimu pamoja na mzazi au mlezi;
- Utangulizi kwa kila somo. Kila utangulizi una jedwali linaloonyesha wiki ya somo, mada kuu, mada ndogo, nyenzo na idadi ya vipindi.
- Kabla ya somo lenyewe, mwalimu anaonyeshwa shabaha ya kila somo, umilisi wa msingi unaokuzwa, uhusiano na masuala mtambiko, shughuli za huduma za kijamii, uhusiano na maadili, uhusiano na masomo mengine na mapendekezo ya tathmini.
- Hatimaye, mwalimu anaonyeshwa hatua mbalimbali za kufundisha somo lake tangia kuingia darasani hadi mwisho wa somo.
- Mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali aidha yameshughulikiwa.
- Lugha iliyotumika ni nyepesi mno na isiyokuwa na maneno magumumagumu na misamiati ya kubabaisha.
Be the first to review “EAEP Super Minds English Workbook Grade 5”