AfriReads

Baraka za Mama

Baraka za Mama ni riwaya inayoangizia maisha ya Baraka kijana anayeibukia katika familia maskini. Baraka anafiwa na wazazi wake na kuachwa chini ya malezi ya ami yake, Baguma. Jambo hili halileti heri yoyote katika maisha yake. Jua la maisha hata hivyo halimsubiri. Baraka anapitia katika adha chungu nzima. Je atatamauka au atapigania maisha?
Hii ni riwaya ya kusisimua iliyowasilishwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Aidha, imesheheni mafunzo muhimu kwa vijana

KSh355.00

Weight 0.1 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Baraka za Mama”

Your email address will not be published.

Select your currency
KES Kenyan shilling